Nova Co Ltd
Member
- Jul 18, 2019
- 8
- 19
Wakuu habari , shukrani kwa mola muweza alie tukutanisha hapa, niende direct kwenye mada.
Changamoto ya spare haswa za Taa za gari , ni kama wimbo wa taifa maana kila mmiliki wa gari anakumbana nayo, katika mihangaiko yangu nilifanikisha kukutana na kijana wa kitanzania aliye fanikiwa kubuni teknolojia ya kuzalisha Lenzi za taa yoyote ya gari, ni tumaini langu kuwa kijana huyu kama angeweza kukutana na wafanya biashara na kushirikiana naye kwa kuigeuza teknolojia hiyo kuwa biashara ingekua jambo a msingi sana. Kijana mbunifu alifanikiwa kurusha kipindi kupitia TBC mwezi uliopita, Ofisi zipo Zanzibar ghorofa ya kwanza chuo cha Afya Mbweni na chuo cha Utalii Maruhubi (First floor Maruhubi SUZA)
Kwa changamoto yeyote kwa taa ya gari yako tujadili kupitia uzi huu tafadhali.
mawasiliano ya mbunifu ni 0745018405
Nime attach ushahidi wa picha, asanteni!!!!!1