Mpenzi Sarafina1
Hii kunitaja mimi wa kwanza kunamaanisha mi ndo kinara? hebu angalia inbox yako, kuna PM nimekutumia. Afu usimwambie mtu.
Karibu, mimi naitwa babu mkaguzi a.k.a Big braza ODM, babu wa wajukuu wa kike. Are you he/she?
We mbona hujamgongea wakati amekupa maujiko? Uchoyo tu!
sijui ata nimeingia huku yanini kumbe cpo .....ngoja nisepe kiaina.
Embu niambie ameshagonga ngapi kabla sijajiandaa kwa mafunzo ya binafsi!
Haya CPU naona kama pale juu nilikusahau na wewe nionyeshe mfano basi mbona mchoyo
The Following User Says Thank You to CPU For This Useful Post:
Sarafina1 (Today)
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.
Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, Rose 1980, Dena Amsi, Lizzy, Uprotocol, Darck City, Klorokwini, Susy, Wiselady, Mwanajamii 1, Bubu ataka kusema, The Finest, Teamo, Tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, Fidel, Acid, Afrodenzi, Preta, kibiritingoma, Askofu, Mzee Mwanakijiji, Kimey, Shantel, Kaizer, LD, Mbu, Mpendwa, Kakakiiza, gaga, St. RR, St. Paka mweusi, Miss Judith, Maria roza, husninyo, Mamushka, Chauro, Nyamayao, Genekai Keren-Happuch, Lily Flower, Chetuntu, Wit, Mwita Maranya, Firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana
mpaka sasa una senksi zero wakati babu Asprin ndo anaongoza kwa senksi 8
Sarafina1 nini tena ahaaa dont tell me you cannot resist me l.o.lThanks the finest, avatar yako inanikwaza
Lizzy Babu Loliondo huyo tunamjua na vikombe vyake hapa JF:lol::lol:Weeee!Wazuri siku zote ndo tunasahaulika!Ngoja niende zangu!
Sarafina huyo anaejiita babu akikugeuka usinililie!
We...punguza kasi ina mwenyewe hiyo!Yaani hiyo avatar mi hoi kabisa
Sasa Sarafina ukiniona naogopa mapigo yako ya moyo yanaweza kuongezeka ikasababisha nikupeleke hospitaliYaani hiyo avatar mi hoi kabisa
Si bora angekua na upako kama wa Loliondo..huyu watu wanakigombania kikombe chake bila kujua kitaleta madhara baadae!Lizzy Babu Loliondo huyo tunamjua na vikombe vyake hapa JF:lol::lol: