wanajamvi

wanajamvi

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
3,509
Reaction score
3,741
fidia ya ardhi nzega tumepunjwa,tumelipwa sh, 150 tu kwa mita skwea moja badala ya rate inayotambulika rasm kwa hapa nzega mjini ambayo ni sh.5000, waziri tumemwandikia barua yapata miezi mitatu na nusu imepita bila majibu tunaomba msaada,tufanyaje?
 
Back
Top Bottom