K Kashishi yetu JF-Expert Member Joined Mar 22, 2014 Posts 3,509 Reaction score 3,741 Mar 27, 2014 #1 fidia ya ardhi nzega tumepunjwa,tumelipwa sh, 150 tu kwa mita skwea moja badala ya rate inayotambulika rasm kwa hapa nzega mjini ambayo ni sh.5000, waziri tumemwandikia barua yapata miezi mitatu na nusu imepita bila majibu tunaomba msaada,tufanyaje?
fidia ya ardhi nzega tumepunjwa,tumelipwa sh, 150 tu kwa mita skwea moja badala ya rate inayotambulika rasm kwa hapa nzega mjini ambayo ni sh.5000, waziri tumemwandikia barua yapata miezi mitatu na nusu imepita bila majibu tunaomba msaada,tufanyaje?