wanajanvi , naomba msaada khs online registration ya private candidate.

wakomong'we

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
30
Reaction score
2
Nimehangaika sana tangu jana kufanya online registration bila mafanikio, nimefuata maelekezo, na pia nimeshalipia kwa
njia ya M pesa, lakini kila nikibofya ili kucreate user name inaandika conecting kwa muda mrefu bila kufunguka , tafadhali
wanajamvi mnisaidie nimekwama nifanyeje?
 
ok, pole for that ndg.... hebu nipigie 0753210877 fasta niku saidie bila zengwe.... and then nikutumia form yako kwa e mail.....
 
Back
Top Bottom