Nimehangaika sana tangu jana kufanya online registration bila mafanikio, nimefuata maelekezo, na pia nimeshalipia kwa
njia ya M pesa, lakini kila nikibofya ili kucreate user name inaandika conecting kwa muda mrefu bila kufunguka , tafadhali
wanajamvi mnisaidie nimekwama nifanyeje?