Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Serikali imetuma Wanajeshi katika Hospitali na vituo vya Afya katika Mikoa ya Thelle Mogoerane, Sebokeng na Bheki Mlangeni iliyoathirika zaidi baada ya Madaktari kuungana na Wafanyakazi wengine wa umma katika mgomo wa kudai maslahi bora.
Wafanyakazi wa umma wamekuwa wakiandamana tangu Machi 6, 2023 kudai nyongeza ya 10% ya mshahara ambapo Serikali imetoa 4.7% pekee na wameapa kuzidisha mgomo huo hadi matakwa yao yatakapotekelezwa.
Waziri wa afya, Joe Phaahla amesema mgomo huo umesababisha watu kadhaa kupoteza maisha.
====
South Africa has deployed military personnel to hospitals as a public health crisis intensifies after medics joined other public service workers in a strike to demand better pay.
The military personnel are offering medical services in the worst affected facilities.
Public workers have been protesting since Monday last week to demand a 10% wage hike. The government has offered 4.7%.
Their union has vowed to intensify the strike until its demands are met.
Troops have been deployed to Thelle Mogoerane, Sebokeng and Bheki Mlangeni - the regions hardest hit by the strike, a local TV reports quoting a health official in Gauteng province.
Emergency teams are believed to have been unable to respond to some emergency calls as access to some facilities remained blockaded.
Health Minister Joe Phaahla has said the strike had led to the loss of lives.
Source: BBC