May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Nimesikia visigizio kwamba Ruvu walikuwa wanaomboleza ndio maana wameshindwa kuhimili vishindo vya Simba aliyejeruhiwa.
Tumtakie Mwedazake pumziko la Amani, ila niwatake Ruvu wakubali tu walizidiwa na ubora wa Simba kwani walihitaji ushindi wa kumsindikiza Shujaa/Mpiganaji wao.
Mkubali tu mmeagukiwa na kitu kizito.
Tumtakie Mwedazake pumziko la Amani, ila niwatake Ruvu wakubali tu walizidiwa na ubora wa Simba kwani walihitaji ushindi wa kumsindikiza Shujaa/Mpiganaji wao.
Mkubali tu mmeagukiwa na kitu kizito.