Wanajeshi: mgomo wa walimu.

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Serikali inasubiri nini, si ipeleke wanajeshi nchi nzima wakafundishe!!, Ngoja na walimu wa vyuo vikuu nao wanukishe nasikia ipo jikoni, na huko napo wawaandae wanajeshi kwenda kukata nyanga. Sipati picha maafande wakate nyanga pale CoET.
 
Kuongoza kazi kweli,unaweza kumpa uwaziri hata muuza mchicha,kisa uliskuli naye
 
yaani JK hakuna rangi ataacha kuona mwaka huu
 
Serikali inasubiri nini, si ipeleke wanajeshi nchi nzima wakafundishe!!, Ngoja na walimu wa vyuo vikuu nao wanukishe nasikia ipo jikoni, na huko napo wawaandae wanajeshi kwenda kukata nyanga. Sipati picha maafande wakate nyanga pale CoET.

Harafu shule za jeshi nani akafundishe?
 
Hii nci inakoeleke sijui ni wapi,migomo kila kona na jamaa hata hawajali!!
 
Hii nci inakoeleke sijui ni wapi,migomo kila kona na jamaa hata hawajali!!

Watajali vipi, wakati wao na watoto wao wanatibiwa India, wanasoma shule nchi za nje. mbaya zaidi na sisi waTZ ni dhaifu!.
 
Mi ningependa sheria ipitishwe kuwa kila mfanyakazi wa serikalini, wakiwepo wabunge, wanasiasa na Rais lazima watoto wao wasome shule za Serikali
 
Viongozi wana vision naona hapa tuna wanasiasa wanafikiria 2015 tu wote
hakuna mtu anaefikiria kutatua matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…