Wanajeshi wa Burkina Faso wanadaiwa kuua Raia takriban 40

Wanajeshi wa Burkina Faso wanadaiwa kuua Raia takriban 40

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini humo yamelishutumu jeshi kwa kuwaua zaidi ya watu 40 kaskazini mwa nchi hiyo na kusema kuwa kumekuwa na visa vingi vya utekaji nyara na vifo vinavyohusishwa na Wanajeshi hao

Katika matukio tofauti miili ya watu inadaiwa kukutwa barabarani kati ya Taffogo na Bouroum ikiwa imefungwa macho na mikono

Jeshi la Burkina Faso limekanusha madai ya mara kwa mara ya ukiukaji wa haki za binadamu

....................................

Rights groups in Burkina Faso have accused the army of killing more than 40 people in the north of the country.

The Collective Against Immunity and Stigmatisation of Communities said there had been many cases of kidnapping followed by summary executions.

It said the victims' bodies had been found on the road between Taffogo and Bouroum blindfolded with their hands tied.

Another rights group, the Observatory of Human Dignity, said most of the victims were Fulani - a mainly Muslim ethnic group of semi-nomadic herders.

Burkina Faso's military has denied repeated accusations of rights abuses.

The incident is said to have taken place early this month in the village of Taffogo in Tougouri.

Burkina Faso's army has been fighting an insurgency of groups suspected to have links with al-Qaeda or the Islamic State group, that has claimed more than 2,000 lives and forced some 1.9 million people to leave their homes

Source: BBC
 
Back
Top Bottom