Wanajeshi wa IDF waliangusha ndege isiyo na rubani ya Hezbollah

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Ushujaa halisi wa IDF.

Wanajeshi wa IDF waliangusha Drone ya Hezbollah iliyokuwa imebeba mabomu, wakati huo huo askari wa IDF walikuwa wanahamisha majeruhi kutoka Mstari wa mbele kuwapeleka hospitali (Emergency-Evacuation)wanajeshi hao waliojeruhiwa kwenye mapigano huko kusini mwa Lebanon.!!

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…