Wanajeshi wa Serikali ya Congo wajisalimisha kwa M23

Wanajeshi wa Serikali ya Congo wajisalimisha kwa M23

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamaa wanaendelea kupiga kazi.

Leo wanajeshi zaidi wa Congo wamendelea kujisalimisha kwa M23. Na wale wenye vyeo vya juu wamepewa vyeo na MP 23

Hii kampeni ngumu sana, nawatakia lakheri M23 naona nihamie kwao kila siku wanasogea wao mbelee loh

Chanzo: BBC Swahilii
 
Ndio maana Teshkedi anasema anataka serikali ya umoja
 
Sio sawa; mnazalilisha tu jeshi letu, haya maneno hayana ukweli wowote, acheni mara Moja hizi propaganda mtakuja kuumia, ushauri wa Bure!
 
m23 ambao wengi ni watutsi wanakuja kushinda na kuchukua nchi ya congo

ikumbukwe vita ya kimbari mwaka 1994 watutsi wengi sana waliuwawa na wahutu kati ya watu 800,000 waliokufa 700,000 walikua watutsi .

lakini walishinda under champion Paul kagame akiwa kama kiongozi wa jeshi la waasi still kijana mdogo kabsa miaka hiyo wakashinda na kuchukua nchi ya rwanda
 
Basi namimi naomba nijisamishe kwa hao jamaa
 
Jamaa wanaendelea kupiga kazi.

Leo wanajeshi zaidi wa Congo wamendelea kujisalimisha kwa M23. Na wale wenye vyeo vya juu wamepewa vyeo na MP 23

Hii kampeni ngumu sana, nawatakia lakheri M23 naona nihamie kwao kila siku wanasogea wao mbelee loh

Chanzo: BBC Swahilii
Kabila
 
Basi namimi naomba nijisamishe kwa hao jamaa
Kwa mfano wakaichukua drc mazima je watatawala kwa haki na maendeleo au nao watakuwa wachumia tumbo tu na maslahi binafsi? Wanaweza ifikisha drc popote?
 
Back
Top Bottom