KabilaJamaa wanaendelea kupiga kazi.
Leo wanajeshi zaidi wa Congo wamendelea kujisalimisha kwa M23. Na wale wenye vyeo vya juu wamepewa vyeo na MP 23
Hii kampeni ngumu sana, nawatakia lakheri M23 naona nihamie kwao kila siku wanasogea wao mbelee loh
Chanzo: BBC Swahilii
Kwa mfano wakaichukua drc mazima je watatawala kwa haki na maendeleo au nao watakuwa wachumia tumbo tu na maslahi binafsi? Wanaweza ifikisha drc popote?Basi namimi naomba nijisamishe kwa hao jamaa