Wanajeshi wa ufaransa wameanza kuondoka rasmi Nchini Niger

Wanajeshi wa ufaransa wameanza kuondoka rasmi Nchini Niger

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Wanajeshi kutoka nchi ya Ufaransa walioletwa Niger kulinda usalama dhidi ya vikundi vya kigaidi wanaonekana kwenye video hapo nchini wakifungasha virago maeneo ya Airport ambapo ndege yao ilitua hili kuanza mchakato wa kuondoka nchini humo baada ya kauli ya kiongozi wa kijeshi nchini Niger kuwataka wafaransa hao kuondoa vikosi vyao vya kijeshi nchini humo. Ikumbukwe Serikali ya Niger ya Rais Mohammed Bazoum lilipinduliwa mwezi wa Julai, na serikali ya mpito ya kijeshi kushika madaraka.


 
Back
Top Bottom