Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kikosi cha wanajeshi 250 wa kulinda amani wa Ukraine wanatarajiwa kuondoka mashariki mwa DRC na kurejea Ukraine.
Tangazo hilo lilitolewa Jumanne na Umoja wa Mataifa.
Tarehe ya kuondoka bado haijatangazwa. Uondoaji huo pia utajumuisha vifaa na helikopta.
Hatua hiyo huenda ikawa na athari kwa kikosi cha kulinda amani nchini DRC. Hata hivyo wadadisi wanasema Ukraine haikuwa na budi ila kufanya uamuzi huo kwa ajili ya vita vinavyoendelea nchini humo baada ya uvamizi wa Urusi.
Mwandishi wa BBC Mbelechi Msoshi alituma taarifa iliyosheheni maoni ya wenyeji kuhusu uamuzi huo.
BBC Swahili