Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hao lazima watatoroka walizoea kula bata Congo hawako tayari kwenda kupasuliwa na mabomu ya UrusiKikosi cha wanajeshi 250 wa kulinda amani wa Ukraine wanatarajiwa kuondoka mashariki mwa DRC na kurejea Ukraine.
Tangazo hilo lilitolewa Jumanne na Umoja wa Mataifa.
Tarehe ya kuondoka bado haijatangazwa. Uondoaji huo pia utajumuisha vifaa na helikopta.
Hatua hiyo huenda ikawa na athari kwa kikosi cha kulinda amani nchini DRC. Hata hivyo wadadisi wanasema Ukraine haikuwa na budi ila kufanya uamuzi huo kwa ajili ya vita vinavyoendelea nchini humo baada ya uvamizi wa Urusi.
Mwandishi wa BBC Mbelechi Msoshi alituma taarifa iliyosheheni maoni ya wenyeji kuhusu uamuzi huo.
BBC Swahili
Hizi akili zingine bwana, unajua kazi ya mwanajeshi kweli? Ukishaingia Jeshini furahaa kubwa ni kuingia Uwanja wa mapambo...hiki ndiyo sababu ya wanajeshi kutumia WWW katika kuendesha maisha yao.Hao lazima watatoroka walizoea kula bata Congo hawako tayari kwenda kupasuliwa na mabomu ya Urusi
Hizo WWW ilikuwa kipindi lile cha Jeshi la Wakoloni wanajeshi hawana mke wala watoto yaani Jeshi la sasa ivi ulete izo WWW utajikuta pekee yako front wana wote wamedoj au wamekula OMO na TOSSHizi akili zingine bwana, unajua kazi ya mwanajeshi kweli? Ukishaingia Jeshini furahaa kubwa ni kuingia Uwanja wa mapambo...hiki ndiyo sababu ya wanajeshi kutumia WWW katika kuendesha maisha yao.
Wanaogopa kwenda kupasuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]wengine wamegoma
Good boys., nimeipenda hii, ukrein ni taifa la kuigwa dunia hii, natamani kuwa raia wa ukraineKikosi cha wanajeshi 250 wa kulinda amani wa Ukraine wanatarajiwa kuondoka mashariki mwa DRC na kurejea Ukraine.
Tangazo hilo lilitolewa Jumanne na Umoja wa Mataifa.
Tarehe ya kuondoka bado haijatangazwa. Uondoaji huo pia utajumuisha vifaa na helikopta.
Hatua hiyo huenda ikawa na athari kwa kikosi cha kulinda amani nchini DRC. Hata hivyo wadadisi wanasema Ukraine haikuwa na budi ila kufanya uamuzi huo kwa ajili ya vita vinavyoendelea nchini humo baada ya uvamizi wa Urusi.
Mwandishi wa BBC Mbelechi Msoshi alituma taarifa iliyosheheni maoni ya wenyeji kuhusu uamuzi huo.
BBC Swahili
Unafiq mbaya mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Good boys., nimeipenda hii, ukrein ni taifa la kuigwa dunia hii, natamani kuwa raia wa ukraine
Yes i love Ukraine in deed
I dont like killings., Ukrain wanapigania taifa lao kwa umoja wao, they are independent country., hawakupaswa kupigwa mabomu na kuuliwa kinyama., nchi yao haikuwa na vita, walikuwa wametulia asubuhi wakaamka wanapigwa mabomu kila upande, it is painful