MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Sep 14, 2023 Thread starter #21 passioner255 said: Wewe umeshajulikana kila kitu unachoposti ni uongo Click to expand... Hehehe ustadhi tutakwenda hivyo hivyo tu, nawahabarisha tangu limsafara lipigwe na wabeba javelin.
passioner255 said: Wewe umeshajulikana kila kitu unachoposti ni uongo Click to expand... Hehehe ustadhi tutakwenda hivyo hivyo tu, nawahabarisha tangu limsafara lipigwe na wabeba javelin.
Jacob kalokola JF-Expert Member Joined Mar 26, 2022 Posts 893 Reaction score 2,721 Sep 14, 2023 #22 Rais wa Urusi Juzi ktk lile jukwaa alitangazia Dunia kuwa ushindi wa Ukraine upo ktk midomo, uhalisia ground ni kinyume. Tarehe 30/10/2023 Uchaguzi unapita wa hayo Majimbo. Chanzo Aljazeera.
Rais wa Urusi Juzi ktk lile jukwaa alitangazia Dunia kuwa ushindi wa Ukraine upo ktk midomo, uhalisia ground ni kinyume. Tarehe 30/10/2023 Uchaguzi unapita wa hayo Majimbo. Chanzo Aljazeera.
Msulibasi JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 5,947 Reaction score 7,939 Sep 18, 2023 #23 Ustadh tongwe said: Threads 4 ndani ya saa moja zote kuhusu russia Click to expand... Wakati mwingine comment kila mtu akianzisha thread itakuaje Jamaa ana fikra za ubinafsi Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ustadh tongwe said: Threads 4 ndani ya saa moja zote kuhusu russia Click to expand... Wakati mwingine comment kila mtu akianzisha thread itakuaje Jamaa ana fikra za ubinafsi Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app