Hapo vita haijaanza bado tayari wameshachokaIla Hollywood bana
Walituaminisha hii meli inaweza kupiga misheni miaka kumi huko kwa bahari
Hata mwaka haujatimia wanaanza kulialia
T14 Armata naomba sifa tano kuu za hizi ngarawa
Maana zimekua wazi kama utupu wa mbuzi π€£π€£π€£
Haaahaaaa umenikumbusha series ya kijeshi inaitwa 'The Last Ship" dah tulipigwa sana.Ila Hollywood bana
Walituaminisha hii meli inaweza kupiga misheni miaka kumi huko kwa bahari
Hata mwaka haujatimia wanaanza kulialia
T14 Armata naomba sifa tano kuu za hizi ngarawa
Maana zimekua wazi kama utupu wa mbuzi π€£π€£π€£
Aircraft carrier imekaa baharini miezi 9. Wanajeshi ndio wameshindwa kukaa zaidi ya hapo, sio meli.Ila Hollywood bana
Walituaminisha hii meli inaweza kupiga misheni miaka kumi huko kwa bahari
Hata mwaka haujatimia wanaanza kulialia
T14 Armata naomba sifa tano kuu za hizi ngarawa
Maana zimekua wazi kama utupu wa mbuzi π€£π€£π€£
Yaani acha hawa washenzi walitupiga sana fixHapo vita haijaanza bado tayari wameshachoka
Wajinga hawa wametupanga sana mbwa hawaHaaahaaaa umenikumbusha series ya kijeshi inaitwa 'The Last Ship" dah tulipigwa sana.
Ngoja kwanza hapa tuna deal na super glue kaka mkubwaAircraft carrier imekaa baharini miezi 9. Wanajeshi ndio wameshindwa kukaa zaidi ya hapo, sio meli.
Wenzako wa Urusi nitajie ni lini meli yao yoyote uliwahi kaa majini mwezi mmoja tu inafanya kazi.
The last time wamejaribu kuipeleka voyage Admiral Kuznetsov ilifuka moshi ikabidi tugboats zije kuivuta, UK wakakaa chonjo ikitokea changamoto wawaokoe Warusi.
Baada ya hapo ikapelekwa shipyard ikakaa miaka zaidi ya 7 imepaki. Walipokuja kufanya testing ikazamisha floating deck.
Mpaka sasa Russian Navy haiwezi endesha carrier walau siku 1. Wala hawana mechanism ya kuibeba kutoka berth maana ilizamisha deck kubwa pekee iliyokuwa na uwezo huo.
Leo hii wewe wa kucheka Wamarekani kuwa sea sick baada ya kukaa majini miezi 9. Ikiwa ni baada ya kuzidisha miezi 3 ya deployment?
Kilichotokea hapo ni fatigue na deko la wanajeshi wa Marekani. Ambalo of course wa Urusi hawawezi kuwa nalo, maana hawana carrier ya kufanya kazi saa 24 tu achana na miezi 9.
Imagine!!!Hiyo kazi niliikataa , wanasiasa wako huko wanakushawishi upigane na mtu wala hauna tatizo nayeπ π
Russia wana husika vipi na hii topic kaka !! !? ππππAircraft carrier imekaa baharini miezi 9. Wanajeshi ndio wameshindwa kukaa zaidi ya hapo, sio meli.
Wenzako wa Urusi nitajie ni lini meli yao yoyote uliwahi kaa majini mwezi mmoja tu inafanya kazi.
The last time wamejaribu kuipeleka voyage Admiral Kuznetsov ilifuka moshi ikabidi tugboats zije kuivuta, UK wakakaa chonjo ikitokea changamoto wawaokoe Warusi.
Baada ya hapo ikapelekwa shipyard ikakaa miaka zaidi ya 7 imepaki. Walipokuja kufanya testing ikazamisha floating deck.
Mpaka sasa Russian Navy haiwezi endesha carrier walau siku 1. Wala hawana mechanism ya kuibeba kutoka berth maana ilizamisha deck kubwa pekee iliyokuwa na uwezo huo.
Leo hii wewe wa kucheka Wamarekani kuwa sea sick baada ya kukaa majini miezi 9. Ikiwa ni baada ya kuzidisha miezi 3 ya deployment?
Kilichotokea hapo ni fatigue na deko la wanajeshi wa Marekani. Ambalo of course wa Urusi hawawezi kuwa nalo, maana hawana carrier ya kufanya kazi saa 24 tu achana na miezi 9.
Vita ya kutaka kuiharibu Iran nao inawaharibu sana.Meli ya kubeba ndege ya Marekani inaelekea Mashariki ya Kati kuchukua nafasi ya meli ya USS Abraham Lincoln, ambayo inaripotiwa kuwa maelfu ya mabaharia wamekabiliwa na uhaba wa chakula na hali ngumu katika kipindi kirefu cha miezi tisa cha kupelekwa.
Wanafamilia wa mabaharia walio ndani ya meli ya Lincoln wameelezea wasiwasi wao kuhusu kuzorota kwa afya yao ya akili kutokana na hali hiyo, huku baadhi ya mabaharia wakiripotiwa kujaribu kuruka juu ya maji.
Ingawa Jeshi la Wanamaji la Marekani limekiri changamoto za ugavi, limekana kwamba kuna mgogoro wa afya ya akili unaoendelea kwenye meli.
Jeshi la Wanamaji la Marekani limekanusha ongezeko lolote la tabia ya kujiua kwenye meli ya Lincoln, lakini limekiri kwamba meli ilishambiliwa na makombora ya Iran na kusababisha uharibifu unaochangia meli hio kuwa na huduma hafifu kwa wanajeshi wake.
Ikimnukuu afisa wa Marekani, CBS News - mshirika wa BBC nchini Marekani - iliripoti kwamba meli ya George Washington iliondoka katika kituo cha jeshi la majini huko Yokosuka, Japani mwezi Mei ili kufanya doria katika eneo la Pasifiki na sasa inaelekea kuchukua nafasi ya meli ya Lincoln.
Mara tu itakapowasili Mashariki ya Kati, itakuwa meli ya tatu ya kubeba ndege katika eneo hilo. Meli ya USS George HW Bush pia iko pale. Hakuna meli ya kubeba ndege ya Marekani itakayobaki katika Pasifiki na hii kuhatarisha China kujitwalia Taiwan
Meli ya Lincoln imekuwa baharini tangu Desemba 11 tangu ya kupelekwa kwa meli hiyo ambayo awali ilipangwa kuisha Mei,
Mapema wiki hii, Military Times na Stars & Stripes ziliripoti kwamba familia za mabaharia wengi ziliripoti kwamba wapendwa wao walifikiria kuruka juu ya bahari kutokana na hali kwenye chombo hicho.
Hali hizo zimeripotiwa kuwa ni pamoja na usafi duni, kutokuwepo kwa huduma za dharura mara kwa mara, mabomba yaliyoharibika, uchovu na uhaba wa chakula safi.
Katika mahojiano na BBC, jamaa wa baharia kwenye meli ya Lincoln alidai kwamba jamaa yao alikuwa amepunguza uzito wa pauni 65 (kilo 29) tangu meli hiyo ilipoelekea baharini na alikuwa akiteseka kutokana na uchovu kutokana na kelele za ndege na mitetemo ya meli hiyo.
Mtu huyo, ambaye alizungumza kwa sharti la kutotajwa jina kutokana na wasiwasi kuhusu kulipiza kisasi, alisema kwamba jamaa yao aliyethibitishwa kuwa mabaharia walijaribu kuruka kutoka kwenye meli.
Jefferson Kelly, ambaye mwanawe Jackson yuko kwenye meli ya Lincoln, aliiambia CBS kwamba amekuwa na wasiwasi kuhusu mwanawe baada ya karibu miezi tisa baharini. Kwa kawaida, huchukua takriban miezi sita.
"Hazipaswi kupelekwa kwa muda mrefu hivi," alisema. "Hizi ni meli za zamani. Sio kama hata ni za kisasa. Na zinahitaji matengenezo mengi, kazi nyingi.
"Ningepanda ndege au helikopta usiku wa leo ikiwa ingemaanisha kumrudisha nyumbani kwa mama yake na ndugu zake na familia yake," aliongeza.
"Lakini pia yanaibua swali pana zaidi: kama Jeshi la Wanamaji linaweza kudumisha kasi ya uendeshaji inayohitajika sasa kwa kikosi chake " aliongeza.
US aircraft carrier on way to relieve USS Abraham Lincoln after issues reported on board
Thousands of sailors on the Lincoln have reportedly faced food shortages and broken plumbing, with some considering jumping overboard.www.bbc.co.uk
Nani alikueleza US carrier inatakiwa kukaa majini miaka 10?Ngoja kwanza hapa tuna deal na super glue kaka mkubwa
Huwezi ukataka uonekane wewe bora kwa udhaifu wa mwenzako hili lakwanza
Hilo la fatigue kwa wanajeshi pia ni sehemu ya hio meli sababu hio meli haipo kule ilipo na mawe yaani ukiwatoa hao wanajeshi hio meli itafanyaje kazi itapakia nani hii point ushafeli tayari
Pia hujasikia wanalalama kama vifaa vya kupikia kufulia vyoo vyote hivi havifanyi kazi
Yaani meli ya kukaa majini miaka kumi chini ya mwaka ina matatizo ya washing machine ina matatizo ya vyoo kujaa maji nk
Hapa jamaa walituaminisha ujinga mtupu ila ukweli wake zero
Wanajeshi mpaka wanataka kuji over board kwamba hata washauri wa psychology hamnaπ
Haya twende kwa Russia sasa ama tubakie kwanza na super glue
Maana anatangaza mpaka hormuz kua yake wakati hata kuimiliki haimiliki na meli zake za mchongoma
Kauli za kujitungia hazifichi ukosefu wa carrier kwa hilo jeshi njaa unaloshabikia.Yaani acha hawa washenzi walitupiga sana fix
Ukiplus na madalali zao humu wakina T14 Armata walivyokua wanazijaza sifa hizi ngarawa
Unaambiwa inaweza kupiga misheni miaka kumi
Unaambiwa ina Naoko Naoko kibaao
Kumbe bora zile ngarawa zetu kule mombasa na kojani
Abraham Lincoln haina mjadala imekaa miezi 9 majini ikifanya kazi, imezidisha miezi 3 ya deployment.Russia wana husika vipi na hii topic kaka !! !? ππππ
Leo tuna deal na Abraham Lincoln aircraft mkuu usihamishe topic
Subiri Uzi wa Russia ukiletwa na wao tutaujadili Kwa wakati wao
Hahahaa iran ni nyokooπππ