Wanajeshi waingia mitaani kudhibiti vurugu zinazohusiana na Rais Zuma kufungwa

Wanajeshi waingia mitaani kudhibiti vurugu zinazohusiana na Rais Zuma kufungwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma

Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hiz

Katika Jimbo ambalo Zuma anatokea, KwaZulu Natal kumekuwa na fujo nyingi ikiwemo raia kuchoma maduka, vurugu ambazo zilianza mara baada ya Zuma kujisalimisha polisi ili kutumikia kifungo cha miezi 15

===
JOHANNESBURG, July 12 (Reuters) - South Africa deployed soldiers on Monday to quell violence that erupted in the wake of former president Jacob Zuma's jailing, after days of riots left at least six people dead.

Police said disturbances had intensified and 219 people arrested as the controversial ex-leader challenged his 15-month prison term in the country's top court.

Smoke from burning buildings swirled in the air as items from burgled shops lay strewn by the side of the road in Pietermaritzburg in Zuma's home province of KwaZulu-Natal (KZN).

The sporadic pro-Zuma protests that broke out when he handed himself over last week have quickly escalated into looting and arson, mainly in KZN but also in Gauteng where the biggest city Johannesburg is. read more

Some COVID-19 vaccination sites and clinics in Gauteng and KZN were shuttered due to safety concerns, the Gauteng provincial government and an independent pharmacy association said, further delaying a sluggish immunisation campaign.

Opportunistic criminals appear to be taking advantage of the anger some feel over Zuma's incarceration to steal and cause destruction, police said.

A statement from the military said "pre-deployment processes had started" following a request for assistance from a government intelligence body, but a Reuters cameraman in Pietermaritzburg saw armed soldiers already in the streets.

The rand dropped sharply and was trading down 1.5% against the U.S. dollar at 1830 local time (1630 GMT).

President Cyril Ramaphosa would address the nation about the violence at 1800 GMT, his office said.

Any confrontation with soldiers risks fuelling claims by Zuma and his supporters that they are victims of a politically-motivated crackdown by his successor Ramaphosa.

Zuma, 79, was sentenced late last month for defying a constitutional court order to give evidence at an inquiry investigating high-level corruption during his nine years in office until 2018. read more

The decision to jail him resulted from legal proceedings seen as a test of post-apartheid South Africa's ability to enforce the rule of law, including against powerful politicians.

In a virtual hearing on Monday, Zuma's counsel asked the constitutional court to rescind his jail term, citing a rule that judgments can be reconsidered if made in the absence of the affected person or containing a patent error. But legal experts say Zuma's chances of success are slim.

BRAZEN THEFT

Footage shot by Reuters in the Katlehong township in Gauteng showed police firing rubber bullets at looters to disperse them.

At the Jabulani Mall in Soweto looters brazenly walked past TV cameras carrying armfuls of stolen goods.

Liquor stores were among those affected, as the sale of alcohol is currently banned under COVID-19 restrictions designed to ease pressure on hospitals, as were shops of companies like pharmacy group Clicks (CLSJ.J), and food retailers Pick n Pay (PIKJ.J) and Shoprite (SHPJ.J). read more

As of Monday morning the bodies of four people had been found - at least two with gunshot wounds - in Gauteng, intelligence structure NatJOINTS said. Two deaths had happened in KZN, and all six were being investigated.

Ramaphosa said on Sunday there was no justification for violence and that it was damaging efforts to rebuild the economy after COVID-19.

The governing African National Congress (ANC) said on Monday that the poor would bear the brunt of the destruction as critical public services had been disrupted and several small businesses destroyed.

The movement of freight out of Durban port's container terminal was disrupted, while a logistics executive who asked not to be named said he had taken all 300 of his trucks transporting metals like copper and cobalt off the roads. Mining industry body the Minerals Council said some shipments out of the Richards Bay port had been delayed.

Zuma's imprisonment marks a significant fall from stature for a leading figure in the ANC.

He was once jailed by South Africa's pre-1994 white-minority rulers for his efforts to make all citizens equal before the law, but for many his reputation is now tarnished after a string of sleaze and graft scandals.

The corruption inquiry that Zuma has refused to cooperate with is examining allegations that he allowed three Indian-born businessmen, Atul, Ajay and Rajesh Gupta, to plunder state resources and peddle influence over government policy. He and the Gupta brothers, who fled the country after his ouster, deny wrongdoing.
 
Nguvu ya umma hiyo Wangeitumia kwa Kudai Katiba mpya ingeleta maana kubwa.

Ila kuna haja ya Rais aliyepo madarakani kwa sasa atoe msamaha ili Zuma atolewe Gerezani.
 
Nguvu ya umma hiyo Wangeitumia kwa Kudai Katiba mpya ingeleta maana kubwa.

Ila kuna haja ya Rais aliyepo madarakani kwa sasa atoe msamaha ili Zuma atolewe Gerezani.
Hivi kwa mfano tuseme ni wewe; unamfungaje mtu ambaye ni Rais mstaafu na kwa kosa ambalo wala si la uhaini, mwenye miaka 80 kasoro, mwenye wafuasi ambao huwa wako tayari kuandamana usiku na mchana? Kuna mahali fulani hawa watu busara imewaponyoka. Umri wa miaka 80 humfungi mtu rais mdstaafu tena kwa kosa la aina hiyo, na hata kama angekuwa ni raia wa kawaida bado ilikuwa haitoshi. Miaka hiyo humfungi mtu, unamtafutia adhabu mbadala
 
Mtu anayedharau mfumo wa sheria na utoaji haki wa nchi ni threat ya kuogopwa kwa usalama wa taifa lolote. Huyo Judge ni hero!!

Hakuna mtu anayepaswa kujiona sheria za nchi hazimhusu, ni ushenzi unaotukwamisha Africa.
 
Hii ndio Afrika, unafanya maandamano mpaka unakufa kwa sababu ya mtu mmoja asieweza kukusaidia, pumbafu kabisa. Jehanamu inawahusu
 
Mtu anayedharau mfumo wa sheria na utoaji haki wa nchi ni threat ya kuogopwa kwa usalama wa taifa lolote. Huyo Judge ni hero!!

Hakuna mtu anayepaswa kujiona sheria za nchi hazimhusu, ni ushenzi unaotukwamisha Africa.
Consider the growth curve, assuming ulisoma Biology mpaka F3. Umri wa Rais Zuma ni miaka 79

Majaji wote wakiamua kuwa wanaamua kesi kwa mtindo huu, nusu ya watu wanaweza kujilkuta wako jela. Hekima kubwa huwa inawaongoza watu hawa na ndiyo maana tunaishi kama hivi tunavyoishi. Wakiamua kufuata kila kitu kama sheria inavyotaka na bila kuangalia vitu vingine, watu wengi muno wanaweza kujikuta wana makosa, possibly na wewe mwenyewe ukiwa mmoja wao!
Hukumu ya kifungo cha nje ilikuwa inamfaa, na siyo jela. Nani angeandamana kama Rais Zuma angehukumiwa kifungu cha nje? Mtu wa aina gani angepoteza maisha sababu ya Zuma kupewa kifungo cha nje?. Sijui labda kwa sababu mimi naongea kwa kutumia layman's eye!
 
Hivi kwa mfano tuseme ni wewe; unamfungaje mtu ambaye ni Rais mstaafu na kwa kosa ambalo wala si la uhaini, mwenye miaka 80 kasoro, mwenye wafuasi ambao huwa wako tayari kuandamana usiku na mchana? Kuna mahali fulani hawa watu busara imewaponyoka. Umri wa miaka 80 humfungi mtu rais mdstaafu tena kwa kosa la aina hiyo, na hata kama angekuwa ni raia wa kawaida bado ilikuwa haitoshi. Miaka hiyo humfungi mtu, unamtafutia adhabu mbadala
Nobody is above the law
Ukiruhusu hilo utawapa nafasi wanasiasa kubadili katiba na kusema rais asishtakiwe akiwa madarakani au amestaafu kwa hoja ya kuwa wana watu
 
Nobody is above the law
Ukiruhusu hilo utawapa nafasi wanasiasa kubadili katiba na kusema rais asishtakiwe akiwa madarakani au amestaafu kwa hoja ya kuwa wana watu
Mazingira sasa ni ya South Afrika. Hapa tunaongelea South Afrika, hatuongelei Tanzania. Nawajua wa-South Afrika nimewahi kuishi nao pale TIA mwaka 1994.
Walikuwa wanakaa pale kwenye mojwapo ya mabweni ya wanachuo, baadhi ya vyumba, na walikuwa wanasoma Chang'ombe. Nilibahatika kuzoeana nao kwa sababu nilikuwa na Kamera modern, walikuwa wanapenda kupiga picha na visichana kutoka mitaani

Wakati wa jioni, maenoeo yao ya kutembelea ilikuwa ni Kizota. Wana fujo ni balaa kuna mmoja waliwahi kumchinja kwa chupa huko mtaani
Mwingine tena siku anaondoka kurudi SA, pale Airport akakwapua mzigo wa mtu na kwenye muda ambao ndege aliyokuwa anaondoka nayo abiria tayari walikuwa wameshaanza ku-board, lakini yeye alikuwa bado yuko nje , akisubiri kutekeleza azma hiyo halafu ndiyo aingie ndani . Jamaa likwapua mzigo na kuingia nao ndani, haraka haraka akacheck-in na kwenda ku-board kabla taarifa za wizi huo hazijasambaa. Jamaa mwenye mzigo ile anakuja kustuka akaambiwa aliyekuibia mzigo tayari ndege imeshapaa na kuondoka. Sijui kama aliwahi kuupata mzigo, kama mwizi alikwenda kuwa detained kwenye destination airport. Nawajua hawa watu utafikiri nimewahi kusihi kwao
 
Sure,Nimekaa SA miaka mitano hao viumbe akili zao wanazijua wenyewe...
Bora hata wanajeshi polisi ndo majizi vurugu kama hizi kwao ni sherehe badala yakutuliza fujo yenyewe yanawasapoti kidizain..
 
Back
Top Bottom