Wanajeshi Wanavyokufa Kimya: Vita vya Kagame visivyotambuliwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

M23 wanaijua vizuri terrain ya maeneo wanayopigania. Wana advantage kwenye mapigano dhidi ya wageni hao kina JW na M23 wala sio wazembe. Kwanza wanawazidi mbali FARDC troops
Sawa mkuu. Sasa JW inamaslahi gani huko DRC maana inasadikika ni shamba la Apple na TESLA na wengineo. Haitaleta shida kwetu mkuu? Kule Msumbiji nako naona kunazidi kuchimbika wakati ni wafaransa wale na wamerekani wanajua wanacheza michezo gani. sisi chetu kipi na inaonekana wazi hatuna counteroffense nzuri na yenye kueleweka kimbinu na equipment?
 
Rwanda has nothing to do with your internal problems

You know what is going on last week and this week next time ,you will tell me ,how many countries are in Dr
It doesn't matter, even if the whole world troops were deployed in Congo. What matters is, How long will you continue to steal your fellow African brothers and sister's resources?! For how long will you continue to cheer up glasses carrying blood of your own fellow African brothers and sisters?! You are digging your own grave. Its just a matter of time.
 
Mkuu raia wa Drc hasa kule Kivu wanateseka mno na vita sidhani kama hata wanavitamani ila kuvimaliza imekuwa vigumu kwao.

Hata viongozi wanaowaongoza ni sehemu ya tatizo
 
JWTZ itoe kwenye matarajio makubwa kwenye mission yeyote. Ni mzalendo uchwara tu anayejiaminisha JW inaweza fanya lolote kubadilisha hali Congo. Hata Msumbiji tunatafuta lawama bure.

Hayo maeneo ningekuwa na mamlaka naondoa majeshi yetu. Ni vigumu sana kupigania nchi ambayo serikali yake haina political willingness ya kujitetea.
Ukienda Magharibi mwa Congo hawajihusishi na kinachoendelea Mashariki yao, sasa wewe Mtanzania inakuhusu nini. Vita kwao ni sehemu ya kampeni, ni hoja mojawapo ya kuchukua wapigakura na hakuna kinachofanyika. Sio Congo pekee yenye resources duniani, ila Congo ni nchi ya kwanza kwa zenye resources na wavivu zaidi kujitetea.
 
M23 wanaijua vizuri terrain ya maeneo wanayopigania. Wana advantage kwenye mapigano dhidi ya wageni hao kina JW na M23 wala sio wazembe. Kwanza wanawazidi mbali FARDC troops
Kuna moles wengi upande wa DRC
 
Rwanda has nothing to do with your internal problems.
Ndugu ni kuwa unabisha tuu ama vipi!?
Hivyo vielelezo vilivyotolewa na waandishi waliofika Congo ambao asili ya Rwanda vinathibitisha Rwanda anahusika katika mgogoro wa DRC.
Wewe unasema hawahusiki.
Au hujaisoma hii habari we ni mvivu wa kusoma!?
Come to your sanity PLEASE.
 
Sawa wakubwa wanahusika ila hao wakubwa lazima wawe na scapegoat kumtumia kufanikisha yao,na huyo scapegoat ni RWANDA.
Ottoman Empire ilivunjwa na Western powers,ila unadhani waliingia kwa direct confrontation?
Nooop,walitumia mataifa ya kiarabu yaliyo karibu na Ottoman Empire kuiangusha hiyo Himaya,ikiwemo taifa la Syria.
Au mkuu ulitarajia wakubwa wajidhihirishe??
 
Kuna moles wengi upande wa DRC
FARDC ni jeshi maandazi na Congolese govt ni mabwege. Kati ya hizo instituons mbili hamna ya kumaliza vita pale, ni wapuuzi tu. Yaani Vietnam ipigane na Ufaransa, ikae kidogo ipigane na Marekani, ikae kidogo ipigane na China na uko kote ama suluhu ama ishinde. Alafu hao legelege wanajiliza dhidi ya Rwanda.

Algeria ilipigana na France kujikomboa, vita kali kabisa. Kina Mugabe hapo Zimbabwe walipigana Rhodesian Bush War wakaja hadi mercenaries kutoka Vietnam war lakini wapi wazungu wakashindwa pamoja na kuifanya vita ya kisasa kuwahi kuonekana Southern Sahara.

Pale Chad nchi ilikataa upuuzi wa Gaddafi wa kuwachonganisha, wapinzani wakaungana na serikali wakiwa chini ya makamanda shupavu kina Idriss Deby kabla hajawa Rais (Deby mwenyewe kafia frontline akipigana na wanamgambo akiwa Rais mwaka 2021), wakalitandika vibaya jeshi la Libya kwenye Toyota wars. Although France ilitoa support ya air cover na anti tank weapons.
Sasa tungesema basi China au Russia zitoe security guarantee kwa Congo, kwa jeshi gani na serikali gani ya kusaidia pale.

DRC inajiliza dhidi ya Rwanda na ushahidi upo wazi. Si ni kitendo cha kujipanga na kumaliza tatizo. Hizo nguvu zinazoelekezwa Congo zihamishiwe kwingineko. Hawako serious.
 
Tunataka kuongeza eneo nchi yetu ni ndogo sana tukipata Kivu mashariki itakua Safi sana na timeshaichukua Kama vile urusi ilivyochukua Donbas na maeneo mengine ya east Ukraine
 
Waliokufa kule drc ni wengi sana.
Kuna kipindi waliuwawa na drone mpk video zake vipo. Walikufa wengi kweli
 
Well said. Utekelezaji sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…