Wanajeshi Wapewa adhabu za kinidhamu kwa kujichukua video wakiwa kazini

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Inadaiwa Wanajeshi hao wawili, wa Kike ambao majina yao hayakuweza kujulikana mara moja walikuwa wanafanya kazi katika Ofisi ya Rais Uhuru Kenyatta zilizopo katika jengo la Harambee

Katika video hiyo waliojichukua, wanaonekana wakiwa sehemu kama ofisini na kisha mmoja anataja methali mbalimbali huku mwingine akijibu majibu yaliyoonekana ni ya 'utani' kwa ni hayakuwa ya kweli

Moja ya methali waliyoulizana ni ile "Asiyefunzwa na mamaye...." huku jibu la kweli likiwa ni "......hufunzwa na Ulimwengu" mwenzake alijibu kuwa "........mwache atafunzwa akiwa Kurutu". Kurutu ni jina linalotumika kumtambulisha Mwanafunzi wa Kijeshi

Baada ya video hiyo kusambaa na Wakuu wao wa kazi kuiona, inadaiwa Wanajeshi hao wameondolewa kwenye nafasi zao katika Ofisi ya Rais na pia wanakabiliwa na adhabu za kinidhamu
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • W2-LtXlzvHhHWum6.mp4
    484.3 KB
Cheap internet inasumbua sana inafaa tupewe kama ile ya wenzetu wa kusini.
 
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Political Correctness gone Wrong....,

Na huyu angefukuzwa kwa utovu wa nidhamu

 
Warembo kweli MK254 niweke kwa mmoja hapo,niwe shemeji yako

Ova
 
Warembo kweli MK254 niweke kwa mmoja hapo,niwe shemeji yako

Ova
Nyie wapaka poda wa Dar mnaolala kwa chips mayai na wenye vibamia hamuwezani na muziki watoto wa Kikenya.
 
Correction: Askari polisi, sio wanajeshi hawa. Ni wa kitengo cha "Administration Police" ambao ndio hulinda majengo yote ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…