Wanajeshi watano wa KDF wamefariki na wengine zaidi ya 10 baada ya kukanyaga bomu Lamu

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Wanajeshi watano wa Jeshi la Ulinzi nchini humo(KDF) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga bomu katika barabara ya Kiunga-Sankuri

Afisa wa Masuala ya Umma katika Jeshi hilo, Kanali Paul Njuguna amesema kuwa Wanajeshi wengine 10 wamejeruhiwa katika tukio hilo lililotokea leo majira ya saa mbili asubuhi

Aidha, imeelezwa kuwa Wanajeshi hao walikanyaga bomu hilo walipokuwa wanafanya kazi za kijamii kwa kusaidia kuchota na kugawa maji kwa Wananchi wa eneo hilo
========

Five Kenya Defence Forces (KDF) soldiers were killed after a vehicle they were travelling in hit an Improvised Explosive Device on the Kiunga and Sankuri road in Lamu.

KDF Public Affairs officer Colonel Paul Njuguna said 10 other soldiers sustained injuries during the Wednesday 8am incident.

“We thank the locals who offered assistance to the soldiers and call upon them to assist in weeding out lurking terror elements in their midst, in order to assist in the progressive pacification of Lamu County,” a statement from Col. Njuguna said.

The KDF soldiers were on a humanitarian civil assignment to fetch and distribute water to the residents in the area when their vehicle hit the device.



More news to follow
 
[emoji599] Breaking news [emoji438] : wanajeshi wa KDF 5 wamefariki na wengine zaidi ya 12 kujeruhiwa baada ya kukanyaga bomb [emoji378] County ya Lamu nchini Kenya.



More news to follow
Sasa Mkuu, ungetufafanulia basi. Wengine hatujui hiyo KDF ni jeshi la wapi!
 
Pole kwa rais Uhuru Kenyata, familia za marehemu pamoja na wakenya wote.
Mungu awape roho ya subira katika kipindi hiki cha msiba, pia awafanyie wepesi kwenye maziko na mazishi.
RIP FALLEN SOLDIERS.
 
Niliposikia Al Shabab wameanza kutumia IED's nikajua kinachofuata ni vifa vya kutosha. Huyo mdudu ni mbaya sana, waulize US and UK yaliyowapata Iraq and Afghanistan.
 
Time for Tanzanian to be happy.
Man actually this made me to call my niece severally and it made me a worried lot when several calls went unanswered. Luckily enough, she called back to tell me that she was actually among the officers receiving the casualties for treatment so as a result she had no time to pick anyone's call.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…