WanaJF acheni kutuponda tunaotumia TECNO

degree Ni Degree Tu Haijalishi Umeipatia CBE au UDSM
 
Hitaji la mawasiliano likishagimia basi. Hao wanaoponda pia hatengenezi simu. Bora watengeneza simu wapondane wao kwa wao
 
Maisha ni uamuzi.. Sio kama watu wanashindwa kutumia simu za bei ghali.. Mbn rahc tuu kwa ss wa arusha tukiingia pale matejoo tunapata iphone kwa ef50 ukiwa na laki mbili unapata iphone,samsung,alcatel xiaomi. Rahisi tu tena hata nuongeza utapewa. Kingine tecno ni simu pendwa sana na ni bei rahc. ila kumbuka v8 na starlet havifanani japo yote ni magari. Kiukweli ukiwa na cm kal hata madem watakushobokea. Anyway nipo na kitecno chang hapa... Sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…