WanaJF ambao umri wetu umekwenda na maisha yametupiga hebu tukutane hapa tupeane changamoto zinazotukabili

WanaJF ambao umri wetu umekwenda na maisha yametupiga hebu tukutane hapa tupeane changamoto zinazotukabili

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea wana jf ambao umri wetu umekwenda na mpka sasa hatujanya lolote ktk maisha hebu tupeane changamoto zinazotukabili

Mie bana nikikutana na watu wanaonifahamu huwa najificha au nawakwepa si mnajua tena Yale maswali ""siku hizi uko wapi""

Haya endeleaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSELA WA MANZESE, Una umri gani?
Katika maisha yako usiruhusu akili yako ifikirie kugota kufika mwisho ni kosa kubwa kwani mda wowote na umri wowote mafanikio yanaweza kuja.
Pambana na mtangulize Mungu katika yote ujiepushe na starehe za gharama ulevi, uzinzi na marafiki wasiofaa.
 
MSELA WA MANZESE, Maisha yanahitaji Technics na kujitoa
Maisha yanahitaji ifikirie mbadala wa mabadiliko ili uendane na kasi muda.
Njoo huku kwetu inje ya mjini (Pwani) fanya kilimo cha mihogo mitamu tu kwa mda wa miezi 6 kama umelima eka 2 utapata hela kama million 2.5 ambazo unaweza kuzitumia kufanya biashara ya mazao na ukapiga hatua.
Ila ukitaka ufanikiwe usitumie takwimu za wataalamu zitakupotosha ingia field mwenyewe pambana.
Usitafte maisha kwa kubeti au kucheza kamari ya kifo!!!
 
Hakuna cha umri kwenda wala nini mapambano yaendelee kila mmoja ana njia yake kufikia final destination.
 
Duh kwa hyo hapo ww unaheka ngapi sasa hivi? Mkuu
MSELA WA MANZESE, Maisha yanahitaji Technics na kujitoa
Maisha yanahitaji ifikirie mbadala wa mabadiliko ili uendane na kasi muda.
Njoo huku kwetu inje ya mjini (Pwani) fanya kilimo cha mihogo mitamu tu kwa mda wa miezi 6 kama umelima eka 2 utapata hela kama million 2.5 ambazo unaweza kuzitumia kufanya biashara ya mazao na ukapiga hatua.
Ila ukitaka ufanikiwe usitumie takwimu za wataalamu zitakupotosha ingia field mwenyewe pambana.
Usitafte maisha kwa kubeti au kucheza kamari ya kifo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kwa hyo hapo ww unaheka ngapi sasa hivi? Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mfanyabiashara pia ni mkulima sipendi kuishi mjini kati napendelea kuishi inje ya mji ili nifanye shughuli nyingine za kutafuta kipato kama kilimo na mifugo ili ikitokea katika biashara nikaferi nibaki na uhakika wa ku survive katika kilimo na mifugo.
Karibu kibaha
 
Back
Top Bottom