Na umesema hutaki ulizwa
Swali la kiduwanzi sana hili
Amekujjbu ...?[emoji1787][emoji23][emoji23]Umri umekwenda wapi? Na Kwanini uliuruhusu uende?
πππππππAmekujjbu ...?[emoji1787][emoji23][emoji23]
yess BiShoo haswaaAaa
MSELA WA MANZESE, Maisha yanahitaji Technics na kujitoa
Maisha yanahitaji ifikirie mbadala wa mabadiliko ili uendane na kasi muda.
Njoo huku kwetu inje ya mjini (Pwani) fanya kilimo cha mihogo mitamu tu kwa mda wa miezi 6 kama umelima eka 2 utapata hela kama million 2.5 ambazo unaweza kuzitumia kufanya biashara ya mazao na ukapiga hatua.
Ila ukitaka ufanikiwe usitumie takwimu za wataalamu zitakupotosha ingia field mwenyewe pambana.
Usitafte maisha kwa kubeti au kucheza kamari ya kifo!!!
Mimi ni mfanyabiashara pia ni mkulima sipendi kuishi mjini kati napendelea kuishi inje ya mji ili nifanye shughuli nyingine za kutafuta kipato kama kilimo na mifugo ili ikitokea katika biashara nikaferi nibaki na uhakika wa ku survive katika kilimo na mifugo.