WanaJF mnatia aibu mnapozichunia posts za English


Hahahahaahhahh
Uishi milele Babu yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu,ndo unataka kumwonyesha anachotaka?Maana inaonekana unaifahamu lugha ila umeamua kuichezea maksudi
 
We we huku unatafuta nini kwani ingilishi unayoitaka si uendelee
 
Ki-inglish kinafaa tu kwenye kuunga unga maneno ili kunogesha zile yes no yes no safi sana si umeona mwenyewe ata jina tu 'Jamii Forums' ki-inglish kimenogesha kweli yani ilo jina any way, hope umenielewa mwana ki-inglish
naaam nikweli kimenogesha mnooo
 
amekwambia wewe ni shoga ..

najua hata hpa hutoelewa ..so sihitaji povu
Povu la nini sasa wakati ndege wa aina moja huruka pamoja?

Nashukuru kunitaarifu umeielewa lugha ya shoga mwenzio
 
Hello child jamii forum, hope mko poa! Lets go to slumber, I'm so tired hope you do so. Gudi nite[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…