WanaJF mnatia aibu mnapozichunia posts za English

Ha ha ha! [emoji2] [emoji2] I love it! [emoji4] Hii "Asprin" kali sana. Thanks for making me laugh, I hear it prolongs life...[emoji2]
 
Ki-inglish kinafaa tu kwenye kuunga unga maneno ili kunogesha zile yes no yes no safi sana si umeona mwenyewe ata jina tu 'Jamii Forums' ki-inglish kimenogesha kweli yani ilo jina any way, hope umenielewa mwana ki-inglish
 
Unajipa moyo na vitu vya ajabu ajabu,Kim Un mwenyewe amesoma English mwanzo mwisho sembuse wewe.
Lizika na ulicho nacho hukuzaliwa bongo kwa bahati mbaya.Hii lugha ya malikia siielewagi kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
You made my night pastor...kah hahaahahahhahahahahahahahah uwi nimeshindwa hata kusoma bibilia leo, lugha mgongano pastor.
 
Wana JF wengi wamekimbia umande. Zamani nilikuwa napenda sana kutumia lugha ya Kiingereza ila JF imeniharibu siku hizi nakichukia basi tu...
 
ni mwafrika tuu ndio umchekaasiyejua kuongea kiingereza sahihi ila mzungu humfanya asiye jua asijishushe thamani kwa kuto kujua lugha isiyo muhusu
 
So what do you want us to do?
We are Tanzanians and we enjoy a lot to speak swahili cause this is our language
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…