WanaJF mnatia aibu mnapozichunia posts za English

We ni mkali,aisee!
 
Tunapokutana na waongea English wewe ndiyo unakuwa mkalimani?

Tuache tujiongelee lugha yetu Kiswahili.

Ukiandika kiingereza sisi tutakujibu kwa lugha yetu.
 
Uzi huu kwa jinsi unavyofurahisha ungepelekwa kule "kama una stress pitia hapa", wengine tulisoma enzi zile unavalishwa kamba shingoni ukiongea kilugha (lugha yako ya asili) shuleni, itakuwa ndiyo kiingereza tena!
 
Atuchangii kwasababu “we English speaking cant” aka Kayumbanism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…