Hi WanaJF,
nimeingia ndani ya ukumbi huu tuelimishane nisiyoyajua mnijuze na msiyoyajua niwajuze katika kila nyanja nami nina imani kubwa nanyi kwa ni Watanzania tuna hurka ya kupendana ndio maana tunakutana ndani ya ukumbi huu nisiwachoshe tutaendelea kufahamiana. Kwa wale Watani zangu wa jadi nawatakia kila la kheri.:israel:Wenu GRATION wa KIMARA STOPOVER