WanaJF, Msaada Tutani 🤔.

WanaJF, Msaada Tutani 🤔.

Nyafwili

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
4,240
Reaction score
10,561
Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu.

Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana nilitumia simu mpaka mida ya Sita usiku, nilivyo itumia ikabaki asilimia 10%, hivyo ikabidi niweke kwenye charge ili nikiamka Asubuhi nikute ipo full!

Mambo yakawa tofauti kidogo, nilivyo jaribu kuiwasha Asubuhi ikawa inawaka na kuzima...


Kwa sasa imewaka lakini, inaniletea ujumbe huu
👇👇
Screenshot_20240307-134753.png




Aina ya simu
👇👇
Screenshot_20240307-135509.png



Screenshot_20240307-135438.png
 
Back
Top Bottom