May be tuelimishane kwanza kuhusu aina ya gas inayotumika.
Gas ya Oryx, Manjis, GreatGas etc zote ni BUTANE GAS na imeandikwa kwenye mitungi ya 15kg. Katika hii mitungi kuna (kwa mfano Oryx) utakuta kuna figure imeandikwa 30.2 or 30.1 or 30.3 etc This is the gross weight of the cylinder with its content ambapo ukitoa 15kg from 30.2 kg the balance ndio uzito wa mtungi ukiwa empty. Ila mitungi ya manjis imeandikwa vizuri sana kwa kuonyesha gross and net weight. Nautakuta kwamba net weight ni constant kwa mitungi yote pia ukipima kwenye mizani you get the exact gross weight ilioandikwa kwenye mtungi.
Matumizi yetu ya gas ndio mabovu. Kwa mfano unapasha maji ya kukoga, utachemsha maji mengi up to its boiling point then wakati wa kukoga unalazimika kutumia maji moto kidogo kwa kuchanganya na ya baridi. Maji moto yanabaki mengi bure yet ungeweza kuchemcha kiasi chakutosha bila kuchanganya na maji baridi. Au unakuta mama anatayarisha vifaa vyake vya kupika, wakati anafanya yote haya huku gas inawaka bure bila kuweka chochote. sasa unajiuliza uliwasha gas ya nini wakati hujajitayarisha?
This is wastage of resources. Mimi nadhani swala lipo kwenye matumizi. Nivigumu sana mtungi kutowekwa kiasi cha gas kinachoitajika bcoz machine zinazo weka hii gas kwenye mitungi ni automatic kutokana na kiwango kilicho wekwa.
Mimi kila nikinunua gas naandika tarehe kwenye mtungi ili ikiisha nipate kufahamu muda gani imetumika.