Watu wanapiga miaka 20 wakonao ukimwi. Kikubwa nikula vizuri, Fanya mazoezi, na tumia dawa kwawakati. NB: malaria yanauwa zaidi kuliko ukimwi.Natanguliza amani ya bwana kwenu,na heri ya mwaka mpya.Awali ya yote nawakumbusha kuwa UKIMWI upo nilikuwa siamini lakini kwenye familia yangu umefika, mdogo wetu wa mwisho mtoto wa kike amepimwa amekutwa nao.kwahiyo kwenye mchezo wenu huo chezeni kwa umakini.Baada ya kupata hizo tarifa nimeogopa sana.Inatikiwa tutulie na mmoja tulio nao.Aksanteni nawakilisha.
Mkuu mahope ya namna hiyo ndio yanafanya UKIMWI usiishe ila kila mmoja wetu akichukulia kama serious tutaupunguza kwa kasi na hatimae unaweza kuisha kabisa but kila mtu akichukulia kawaida kihivyo utaendelea kumalizia jamii yetuUsiogope mkuu... Ukimwi upo, ila haunatena makali kama miaka yanyuma... Relax mkuu
Ukipigania kuumaliza ukimwi, vipi EBOLA? vipi cancer ya ini?? Ukimwi ugonjwa wakawaida kabisa.Mkuu mahope ya namna hiyo ndio yanafanya UKIMWI usiishe ila kila mmoja wetu akichukulia kama serious tutaupunguza kwa kasi na hatimae unaweza kuisha kabisa but kila mtu akichukulia kawaida kihivyo utaendelea kumalizia jamii yetu
Vitu vyenye ncha kali kama Dck ndio balaa....Ukimwi haumbukizwi kwa ngono tu.....hata kuchangia vitu vyenye ncha kali na mgonjwa mwenye Ukimwi
we si uliwahi kusema unanyonya sana.....? kumbuka tu, ili kama unapuuza ila uwe unakumbukaMkuu Deception Habari Yako? Mbona anatutisha huyu.....!
Usigope ukimwi,ogopa kansa!Natanguliza amani ya bwana kwenu,na heri ya mwaka mpya.Awali ya yote nawakumbusha kuwa UKIMWI upo nilikuwa siamini lakini kwenye familia yangu umefika, mdogo wetu wa mwisho mtoto wa kike amepimwa amekutwa nao.kwahiyo kwenye mchezo wenu huo chezeni kwa umakini.Baada ya kupata hizo tarifa nimeogopa sana.Inatikiwa tutulie na mmoja tulio nao.Aksanteni nawakilisha.