ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Pole sana kwa hayo matatizo yako ingawa hujatuambia wewe ni mke au mume?Ni mwaka wa 18 naumwa tumbo linanikata na kuunguruma.Mara naharisha mara inakata.Hadi muhimbili nimefika.Dawa nimetumia nyingi hadi chumba changu kinaitwa minipharmacy.Kwa anayejua mitishamba anijuze please!!Kwani cha ajabu kila nikipima vipimo vinaonyesha malaria,amiba,minyoo au taifod na dawa natumia ila wapi!Nimeanza kutafuna vitunguu saumu ndiyo kidogo napata ahueni,ingawa si sana!
Mkuu Majigo hujambo lakini?dokta MziziMkavu tafadhari mkuu tunaomba msaada wako huku!!!
Nina dawa nzurisana ya mitishamba inayotibu na kuondoa tatzo hilo.kwa msaada zaid ntafute,0759217720.
We kila dawa unayo?
Umemstukia huyo jamaa ni balaaWe kila dawa unayo?