Pole mkuu!Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.
Mkuu pole sana, mke wako anakabiriwa na matatizo moja kati ya haya:
1. Jini Mahaba
2. Tatizo la kisaikojia
Kama tatizo ni namba 1 tiba yake itategemea imani yako katika maswala ya dini, kama sio mfia dini sana wapo wataalam wa tiba za jadi wao ndio wana nafasi nzuri sana ya kumtibu ili huyu jini mahaba amuache mkeo maana hili jini mahaba linaweza kufikia hatuwa ya kuja kuchukuwa uhai wako ili aendelee kumfaidi mke wako peke yake,
Labda nikuulize tu swali mna mtoto/ watoto? je mke wako aliwahi kupata tatizo la mimba kuharibika?
Mkeo amekeketwa?una uhakika kwamba kila mnaposhirikiana ktk tendo la ndoa anaridhika?unatumia muda gani kumwandaa mkeo?mnaenda 'raundi' ngapi kiasi cha kumtosheleza mkeo?USHAURI:tumia muda usiopungua dk kumi kumwandaa mkeo kabla ya kumwingilia,na wakati wa zoezi la kumwandaa shughulikia maeneo ambayo ya miisho ya fahamu kama kinembe/kisimi,matiti&chuchu,g.spot n.k kila kimoja kwa angalau dk 5 halafu uone kama majimaji hayajaanza kutoka ukeni na uwe una ckilizia kama kuna mabadiliko ktk upumuaji wake!kama haijawa hivyo nenda hosipitali.Huo n mchango wangu kwako w subiria uone wengine watakushauri nn.
Ukikabidhiwa na tatizo suluhisho lake si kulikimbia bali kukabiliana nalo so wewe ndo unaweza kuinusuru ndoa yako ama kuiteketeza ni vyema ukatafuta suluhisho
Bado hilo jini mahaba lipo na hata kama halimuingilii lakini ndilo linalokufitinisha na mke wako, pls cheki na wataalam wa hayo mambo watakusaidia, ninafahamu fika ninachokushauri maana ulivyosikiaga kua uyaone, siyo magorofa.Tuna mtoto 1, tulimpata mtoto huyo baada ya kumalizika kuotaota hizo ndoto za huyo jini mahaba kama 10yrs ago. kwa sasa haoti kwa kuwa aliombewa dua, ambyo imemsaidia hadi leo kutoota tena, kisaikolojia hana tatizo.
Bado hilo jini mahaba lipo na hata kama halimuingilii lakini ndilo linalokufitinisha na mke wako, pls cheki na wataalam wa hayo mambo watakusaidia, ninafahamu fika ninachokushauri maana ulivyosikiaga kua uyaone, siyo magorofa.
Mkuu pole sana, mke wako anakabiriwa na matatizo moja kati ya haya:
1. Jini Mahaba
2. Tatizo la kisaikojia
Kama tatizo ni namba 1 tiba yake itategemea imani yako katika maswala ya dini, kama sio mfia dini sana wapo wataalam wa tiba za jadi wao ndio wana nafasi nzuri sana ya kumtibu ili huyu jini mahaba amuache mkeo maana hili jini mahaba linaweza kufikia hatuwa ya kuja kuchukuwa uhai wako ili aendelee kumfaidi mke wako peke yake,
Labda nikuulize tu swali mna mtoto/ watoto? je mke wako aliwahi kupata tatizo la mimba kuharibika?
Yule Sheikh RIP pamoja na usanii wake wote lakini matatizo kama haya yeye ndio alikuwa bingwa wa kuyatatuwa, sasa sina hakika kama huyu mwanaye aliyerithi mikoba ya baba yake kama ana uwezo kama wa baba yake, ningekushauri ucheki nae, hilo tatizo ni very serious hutokaa kwa amani na mke wako kama hamtalitafutia tiba.Nakushukuru mkuu kwa ushauri wako, ila tatizo kumpata huyo mtaalamu wa tiba.