Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo lazima ujuwe kila kitu,...... wewe unajuwa hiki na mwingine anajuwa kile, ndio maana hakuna mtu mmoja akawa yeye daktari, mchumi, mhasibu na mkandarasi.ila haya mambo ya jini mahaba mie siamini,huwa nayahusisha na magonjwa ya kisaikolojia.
....whatever you are doing to her is and was very wrong...
alivumilia kipindi chote kwakuwa labda alitaraji utaelewa, utajifunza na
kurekebisha ili naye ajiskie anafurahia tendo la ndoa...
...uvumilivu umemshinda,...japo anakupenda. Jichungue mwenyewe, unamuandaa vipi,
nk,....nk,....nk...."sio baiskeli hiyo" wala sio pa "kuchimbia dawa" tu ukipona huyoooo..
..hakuna jini wala kibwengo hapo, fumbo hilo..tegua.
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.
Kwa hiyo unakwenda kumuachia mke wako kwa siku 5; KWELI WEWE ***** MTOZENI...!!!