WanaJF, Sijielewi ninatatizo gani

Pima mimba my dia kuna uwezekano wa kuwa nayo hata kama hali hiyo imekutokea
 
Kitu hichoo.muulize tu shemeji kama alijipanga msifanye mchezo wa wema sepetu
 
Inawezekana ume conceive, kapime upate uhakika.
 
nunua kile kipimo cha mimba, upime chumbani ukiwa mwenyewe matokeo yakija tushirikishe
 
Nenda duka la dawa wakupe upt Kisha kojoa dumbukiza hicho kikararasi kikitokea mistari modulo basi jua Kitu na box.
 
Kapime mimba na malaria kwa wakati mmoja na usile dawa yoyote kabla hujapata majibu/

Umeolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…