umenionea wapi Nyani Ngabu ?Mwanadamu ameumwa na roho ya kupenda.
Upendo ni amri kuu kuliko zote kama unampenda mtu wa Humu JF mwambie ajue kuwa anapendwa kupendwa raha jamani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakupendeni nyote humu ndani hasa demi
Sana haswa wakati ule upokuwa ukikonyezaheheheheh, bado unanitamani?
Haha hata ambao hawana pesa?nawapenda woteeeee
Halafu[emoji41] [emoji41] [emoji41] mnaonipenda nawasubiri hapaaa[emoji575]
Kumbenawapenda woteeeee
Tatizo walet yangu imesombwa na mafuliko ya usaha wa jipunakupenda zaidi mwaaaa
Acha roho mbaya.ww dada.tumeagizwa upendo.Hakuna ninayempenda humu