Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Presha ya nini tena jamani.
Mambo mke.
Aiseee mie nikutakie kheri tu maana yanayoendelea hapa ni kithibitisho tosha kuwa nina share na mtu hapa.Mie sitaki kushare kabisaaaaaI am feeling great my love. You are missed more.
Eid yangu ni leo mpenzi, jiandae naja kukuchukua.Eid Mubarak!!
Ndio ukala kimya kimya, hata karibu ya uongo uongo jamani!!!!
Aiseee mie nikutakie kheri tu maana yanayoendelea hapa ni kithibitisho tosha kuwa nina share na mtu hapa.Mie sitaki kushare kabisaaaaa
Sawa baby, ngoja nijiandae.Eid yangu ni leo mpenzi, jiandae naja kukuchukua.
Acha wivu mke mwenza bwana, kizuri kula na nduguyo. Hivi unataka umfaidi peke yako tu ili ugundue nini!!!Aiseee mie nikutakie kheri tu maana yanayoendelea hapa ni kithibitisho tosha kuwa nina share na mtu hapa.Mie sitaki kushare kabisaaaaa
Hakika hubby[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Raha ya mume muwe wanne
Much love sweetheart.Acha wivu mke mwenza bwana, kizuri kula na nduguyo. Hivi unataka umfaidi peke yako tu ili ugundue nini!!!
Hakika hubby[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Sawa, ukishajiandaa nicheki kwenye simu.Sawa baby, ngoja nijiandae.
Shem Njoo Mbaramwezi hapa[emoji57][emoji57]
Shem wewe sio wa kunichomesha mahindi hivyo jana.Shem Njoo Mbaramwezi hapa
More love darling.Much love sweetheart.
Poa poa, nakucheki muda sio mrefu.Sawa, ukishajiandaa nicheki kwenye simu.
Hahahahaa Shem Yale majina ya kutokea puani yalinitisha ShemShem wewe sio wa kunichomesha mahindi hivyo jana.
Pilau mkala wenyewe au kisa sina mke?
Hahahaaaa!!Mmmh watu wanapendana humu mpaka tusiokuwa nao wivu unatuuma...sasa mtu una wawili jaman si mmoja unipe mwenzio..
[emoji3][emoji3]Hahahahaa Shem Yale majina ya kutokea puani yalinitisha Shem
Kiroho safi nenda tu my dia.....[emoji34]Raha ya mume muwe wanne
Dulla hilo jina lina historia yake kwangu Shem,one of my ex so so so so halitamkiki hahahaha[emoji3][emoji3]
Dullah haha. Sipo huko bwana ningekualika