baby yupi bamdogoNilikuwa na baby pm nikakosa hata muda wa kutia neno... siunajua penzi bado la moto shurti
Nilipooze kwa pulizo la mdomo
hapana bamdogo wananichokoza wenyeweUmeanza ukorofi
hahahhaNataka, naanzaje kubishana sasa
Sasa huyo utakaemuhonga akupe tu lift
Sasa mbona nyie mmebaki mwenzenu ndo ivo tena
nataka mma tu
Najua mdogo wangusi unajua wako wawili eenh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vurugu tumezoea sie yaan kama nimekuona
EwaaaaSasa utanipaje lift mara mbili wakat nakuhonga wewe
Me penda sana wewe,dah! mimi tu ndo huwa sina bahati ya kupendwa..........wadada mungu anawaona tu!
Sio kwa kusali kuleMsamaha wa rais umepita jaman
basi ukipendacho wewe na mm nimekipenda
Mzee ushahonga Noah yako?Sasa utanipaje lift mara mbili wakat nakuhonga wewe
Maswali yako wewebaby yupi bamdogo
Mzee ushahonga Noah yako?
Hahaha.. yake atabebea mikungu ya Ndizi huko UruNtafanyaje sasa acha niombe lift tu kwa sakayo
Yamekuwa hayooo tena shemejiHahaha.. yake atabebea mikungu ya Ndizi huko Uru