[emoji3][emoji3]Mie nmejitoa yangu itakua school bus
AfadhaliMie nmejitoa yangu itakua school bus
Hivi kapewa ya muda gani?? Na ukipigwa ban hadi pm inakuwa umefungiwa??
Sijajua ni muda gani.. Nasikia hata pm huwezi ingiaHivi kapewa ya muda gani?? Na ukipigwa ban hadi pm inakuwa umefungiwa??
Ewaaaaakija uniambie nijipandie raha leo tumnyonge wote
Kama nakuonaaa vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] najua basi mie hata sijui
wewe tena[emoji3][emoji3]
Yangu wainyan'ganyane wengine wachukue siti, wengine wheels wengine sterling
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhali
Nilikuwa nawaza ntaigawa kwa nani hiyo Noah yako maana msimu wa machungwa unapita ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama nakuonaaa vile
WoooooowwwwShe is baaaaaaackkkk
Nitakupa wewe mamdogowewe tena
Wewe haujambo.Mi nilihama mapema tu.na venye leo I was pretty busy Ndio ninaingia jioni hii. Nakuta shoga angu wa movie kanitag,ile niifungue nimjibu nakutana na banned. Ngachoka!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukinipa napanda kilimanjaroNitakupa wewe mamdogo
Haha haha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukinipa napanda kilimanjaro