Ngoja niende Kibiti, nikirudi ataniambiaMwenyewe nlishtuka siku nyingii, ila aligoma kabisaa kuniambia
[emoji3][emoji3][emoji3]Usimwite huku hakuna anayeiweza ligi yake.Le Mutuz na mwili ule kazaliwa 95..seuse wewe.
Akikuambia Usisahau kunitagNgoja niende Kibiti, nikirudi ataniambia
We love you tooLove to kila mtu jf...
Ile ya espy itahamia kwako. Hatutaki kukukosa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ewaaaa [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ngoja nikaanze kufunua cha marehemu bibi wa Kaliwa kule Sumbawangahahaha ingia tu
HahahaIle ya espy itahamia kwako. Hatutaki kukukosa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi na ban hatuna mahusiano mazuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wamelambwa ban huko. We jibebishe ulambwe ya kwako
[emoji2]Mwambie uncle amemmiss saana.
Awahi kuja mjini Noah zipo bandarini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Le Mutuz na mwili ule kazaliwa 95..seuse wewe.
Sijajua ni muda gani.. Nasikia hata pm huwezi ingia
Staki bhana.Haha... kwanini lakini. Fanya kama leo ndiyo tumekutana kwenye huu uzi. Na urafiki uanzie hapa hapa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] we bamdogoTatizo huyu mwanangu alitakiwa kucheza na wenzake kombolela huko
Usinikumbushe pale kwa PawHahaaaaa!!! Swahiba nimerudiiiii!! Khaaah paw sio mtu mzuri.
shangazi pole sanaHahaaaaa!!! Swahiba nimerudiiiii!! Khaaah paw sio mtu mzuri.