atakubaliiii
Hilo halina Mjadala
Hahaaaaa!!! Swahiba nimerudiiiii!! Khaaah paw sio mtu mzuri.
haifaiiiiYaani unaishia tu kusoma ila huwezi fanya chochote!!! Khaaah!! Ban sio kabisa.
Asa si kaja kwa dadie mdogo acheze nae hapa jukwaani!Tatizo huyu mwanangu alitakiwa kucheza na wenzake kombolela huko
khaaaNilikonda aisee jiran daah
HahahaYaani unaishia tu kusoma ila huwezi fanya chochote!!! Khaaah!! Ban sio kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] katuniiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui atakuwa Alvin au sponge Bob square pants
ananifukuza niende wapiiiAsa si kaja kwa dadie mdogo acheze nae hapa jukwaani!
Unaona tu watu wana like na kukuquote. Vipi Pm nako kunafungwa??Yaani unaishia tu kusoma ila huwezi fanya chochote!!! Khaaah!! Ban sio kabisa.
Kuhusu hilo nikutoe woga kabisa.Staki bhana.
Wengine hatujazoea kula matapishi yetu.
Tutaja teleza, tujisajili kwa Id mpya
Hahaaaaa!!! Swahiba nimerudiiiii!! Khaaah paw sio mtu mzuri.
Msimtaje sasa akahamia hukuUsinikumbushe pale kwa Paw
Tunakupenda piaNawapenda wote
Umeizoea eeh?Mimi na ban hatuna mahusiano mazuri
Yuko studio na Tv yake ya uganga[emoji3][emoji3][emoji3]Usimwite huku hakuna anayeiweza ligi yake.
Sidhani Naona inaanza kuaga tu hapoatakubaliiii
[emoji3][emoji3][emoji3]subira yavuta heridah! mimi tu ndo huwa sina bahati ya kupendwa..........wadada mungu anawaona tu!
Wewe tena....naku-quote, tag na mention juu.Akikuambia Usisahau kunitag
khaaa