Ataumiliki uzi....sie hawezi kutumiliki.Haha... kitu nachompendea ni one man army uzi mzima anaweza kuwamilki.
Ha ha ha ha ha. Unatamani umtie Hata like 2 kwa comment 1 eehHahaha
Unafyata halafu unampa Paw like
Nishapita Hapo. Vita dhidi ya paw haijawahi kumuacha mtu salamaNjoo bhana...
Au ni kusubiri Muheza tuu
nikanyonye nini kwanza amemaanisha madame bEti ukanyonye....asa na meno yako hayo 32 si utabandua ngozi ya ziwa.
Hahaaaa!! Jirani nimerudi, we nenepa tu sasa.Nilikonda aisee jiran daah
Nikakumbuka siku ile mlivyolambwa ban nyie.haifaiiii
Madame sijakutiapo machoni siku nyingi, nimekumisimo.Asa si kaja kwa dadie mdogo acheze nae hapa jukwaani!
Tunakupenda pia
UmeonaeeHa ha ha ha ha. Unatamani umtie Hata like 2 kwa comment 1 eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Niliwaona pale kwenye uzi dakika za mwisho
Hahaaaa!! Jirani nimerudi, we nenepa tu sasa.
Yaani kila mahali panafungwa mpenzi, yaani unakuwa msomaji tu. Unaachiwa notifications tu ndio unaziona ila hazifunguki.Unaona tu watu wana like na kukuquote. Vipi Pm nako kunafungwa??
Mmhnikanyonye nini kwanza amemaanisha madame b
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heaven Sent leo mpoleeee hata kukoment anaogopa.
Nishapita Hapo. Vita dhidi ya paw haijawahi kumuacha mtu salama