[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msimtaje sasa akahamia huku
Halafu naona mnataka kulianzisha tena na kule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heaven Sent leo mpoleeee hata kukoment anaogopa.
HahahaAfadhal kwa kwel sala zetu zimesikika nmehamia huu uzi huku sitok mtoa mada naammudu
Nitakimbia nihame Tz na sayari yake. Niingie jf from mars au pluto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na huku akija basi atakuwa na lake jambo.
Aaahaa Ban si nzuriYaani kila mahali panafungwa mpenzi, yaani unakuwa msomaji tu. Unaachiwa notifications tu ndio unaziona ila hazifunguki.
Anyonye vinyonywa huyo alale
Anadai daku hukuNasubiri
Haha nyieee.
Andaa Daku bwana. Hizi tuziache tu zipite.
Mie nipo tu shoga.Madame sijakutiapo machoni siku nyingi, nimekumisimo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pale mwishoni nilikuwa sina hakika kama ni ban au bado, sasa nikawa naandika coment ya utani nashangaa haiendi kumbe kitu tayari!!!Pale mwishon ulikua mpole jiran sjapata kuona upole wa vile kwako
Haha.Anadai daku huku
Nilimquote bony ile naandika kitu kikagoma kwenda, kumbe ban tayari.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukajikuta unaufyata ghafula. Chafu pozi
Wewe unaambiwa omba msamaha unajin'gata kucha. Kweli? Are you serious?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pale mwishoni nilikuwa sina hakika kama ni ban au bado, sasa nikawa naandika coment ya utani nashangaa haiendi kumbe kitu tayari!!!
Daku ameshaandaa....piga story bhanaHaha nyieee.
Andaa Daku bwana. Hizi tuziache tu zipite.
[emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha ha. Unatamani umtie Hata like 2 kwa comment 1 eeh
pole sana jamaanNikakumbuka siku ile mlivyolambwa ban nyie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhal kwa kwel sala zetu zimesikika nmehamia huu uzi huku sitok mtoa mada naammudu
hivi hajajibu tu
eti nikanyonye nini bamdogo na meno haya 32