WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Mie nipo tu shoga.
Nilitia pua jukwaa la siasa, niliondoka bila kuaga.
Pole kwanza kwa ban...karibu kilingeni
Aaah jukwaa la siasa stress tu kwakweli.

Yaani acha tu ban sio kabisa. Nikajua mzee kakaba mpaka penlt marufuku kuingia jf, maana mara ya mwisho ni ile tulikuwa tunawachamba watu walotushukia walimu kisa kile kitoto cha mbeya kuguswa tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…