Na mie nashangaa nipo tuuSakayo umeaga lakini bado nakuona
Naona sakayo kaondoka na madame B badala ya bonnysawa bamdogo zimefika kwa mnyonywaji na mnyonyaji
Mie pia nimewolewaHatuna pa kumweka tumeoa sisi
Atawakuta wewe na nani haulali leo. Baridii
na we unaondoka na nani halaf mbona unamuonea wivu sakayo hiviiiNaona sakayo kaondoka na madame B badala ya bonny
Qhkeeee!!!mbona sasa mie nabumiana nazo nyingi hizo??? Kwamba nalambwa ban bila kujijua?? Lakini hapana sababu nikifungua zingine nazikuta zinafungukaInagoma kwenda unaambiwa thread haiexist!! Nikajua tu tayari.
unakeshaaaMkalale mtuache na madam b hapa
Haha huku paw hapiti eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si niliomba jamani!! Au hadi nilie kama Heaven Sent!!!
Hata Sakayo shahidi yangu kuwa niliomba msamaha.
unakeshaaa
Lini tena?Mie pia nimewolewa
Nights too swtsJamaniiii wa ndugu mie nilale sasa. Mungu awatunze jamani na muwe na usiku mwema, espy, Maserati, Madame B, Shunie, Daby, Bonny na Heaven Sent huko uliko....
Naona umeanza. Wivu wa nani tenana we unaondoka na nani halaf mbona unamuonea wivu sakayo hiviii
sawa sawaTunakesha na b mate wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lini tena?
Maana haya makenikia yaliyozuiliwa kusafirishwa nje yameleta smelter zenye uchenjuzi usiotabirika
Njoo tucheze basiStory twapiga.. mimi tena labda ushindwe kunisikiliza
Haha I'm engaged to jf, paw akiniban mwee mwee mwee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heaven Sent leo mpoleeee hata kukoment anaogopa.