Dada yako unaona ujanja wake .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Keshakujibunimemuuliza ndio vinini
Labda game ila sio mziki....Njoo tucheze basi
Labda game ila sio mziki....
Pole mpenzi.Aaah jukwaa la siasa stress tu kwakweli.
Yaani acha tu ban sio kabisa. Nikajua mzee kakaba mpaka penlt marufuku kuingia jf, maana mara ya mwisho ni ile tulikuwa tunawachamba watu walotushukia walimu kisa kile kitoto cha mbeya kuguswa tu!!!
Hewaala. Lile la steps eeh ukifungwa round one unadondosha mtandioMcheze like draft la computer
Aiseee.ndio nakwenda kuvinyonya madame b
Kama kawa....tunakesha tu.Asante mwaya
Ko mnakesha
Sina usingizi.....acha tu nikeshe[emoji15] [emoji15] unalala hapa
Mie nasubiri daku tu hapa.Mkalale mtuache na madam b hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah nilisoma ule uzi wote nilicheka saana.
Kuna jamaa alisema mijitu inatusumbua na mitecno yao mikubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ucjali ndoa yetu kesho[emoji3]
Hakuna mbinu, nilipigwa ya masaa matatu tu.We ban bado haijakunyolosha kisawa sawa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu nipe mbinu,ilikuwaje umepata msamaha haraka hivo?
Mnataka mfanyane nini?Mkalale mtuache na madam b hapa
Utakuwa huwa unapitiliza na kuiacha daku wewe .
Hizo nyuzi za akina Maromboso muwe mnatuvuta mashati tuje kuzishambulia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka sana nilipita kimya kimya
Hata sikumwelewa. Nashukuru ulimalizika pasipo kutajwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa tecno zina mahusiano gani, au comment zake zinakuwa hazisomeki!!! Stress tu hizo.