miss chaggaHaha hata ambao hawana pesa?
Akhaaaaukiondoa hicho kitambi naweza kukupa second chance
Akikujibu hajapata unistue mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi haujapataga mume tu!!!
Maendeleo yapo tena makubwa tu siku za weekdays.Vipi maendeleo? Kina dalili za kuondoka?
Stress za cheti feki akawaletea nyie.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tabia za kuzira zira sio nzuri kabisa.
Alikuwa wangu huyo.Kwakweli bora nipate mke mwenza.
Mimi nampenda dada mmoja anaitwa Madame B
Sijui atakuwa ni Brenda, Birigita, Bhoke, Badra, Batilda, Burka, Barbra, Batuli, Bukele, au nani sijui ...[emoji307] [emoji307] [emoji181]
Staki....nishawapata Mondray na Revolution.watu wengine wanaugua maradhi yasio na tiba
Yaani kuna watu ni kama wametumwa kupigisha wenzao Ban.
Madame B fanya mazoezi ya kukata tumbo nataka niwe King mswati
Raha ya mume muwe wanne.Jitoe tu ufahamu, nakucheki tu.
Wewe mbona foleni tena mm siwez kupigishwa foleni..
Hana we nenda kambebe tu hata kama hataki angalau utupunguzie vurugu hapa nyumbani. Asipokuwa na mwanaume anasumbua kweli.Akikujibu hajapata unistue mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maendeleo yapo tena makubwa tu siku za weekdays.
Tatizo ikifika weekend, maendeleo naona kama yanafifia mpaka Jumatatu tena.
Sijui nina nini.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Stress za cheti feki akawaletea nyie.
Aiseeeee.....pole sana.
We love you tooooo......me love all jf
Ohoooooooo!!! Kumbe hukupewa talaka!! MO11 ukuje hapa kun amashtaka yako. Daby nimepata kisingizio[emoji12] [emoji12] [emoji12]Alikuwa wangu huyo.
Hata talaka sikuiona.....akapotea, akaja kuibukia kwako.
Ndo mana namuuliza wakati ananitongoza awali, hakuona hiki kitambi wakati bia alikuwa ananinunulia mwenyewe?
For sure nahitaji msaada, aongezee wengine wawili nami nipumue.Raha ya mume muwe wanne.
Tuliza ball.
Acha nikusaidie majukumu kwa mara ingine.
Safari njemaWewe mbona foleni tena mm siwez kupigishwa foleni..
Ok Baby [emoji12] [emoji23] au Brown sugar?
Sana mpendwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
W.end ina majaribu sana.
Sasa mbona ulinikimbia nikqbaki pekee yangu sio vzr...Safari njema