Kwani huku ndio kutawafanya wasiwashwe mwili mzima......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hahhaa eti hatupendiBora umenisaidia kuuliza aunt yake.
Bora umenisaidia kuuliza aunt yake.
Walah.......Enhee hii ni vice versa yake
kwahiyo wote unatupenda kwa nini usingechagua mmoja tu wengine wachukue wenzio mbona hii ni roho mbaya lakiniMbuz anakula kwa urefu wa kamba yake
Kwani huku ndio kutawafanya wasiwashwe mwili mzima......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
kwahiyo wote unatupenda kwa nini usingechagua mmoja tu wengine wachukue wenzio mbona hii ni roho mbaya lakini
Baby nakupenda kweli marashi yako yamenileta hadi uku.[emoji41] [emoji41] [emoji41] mnaonipenda nawasubiri hapaaa[emoji575]
Duu namimi?ndio mara ya kwanza napigwa buchu chijui leo usiku kama nita lala usingiziKwa yeyote anaesoma hapa!!!
Mmmmmwaaaaa! [emoji38]
Zishanifikia mama nimezipokea nimeziweka uvunguni mwa moyo.Daby salamu zikufikie
Nisemaje mpendwa?Sema neno moja tu na roho yangu itapona
Chukua lingineDuu namimi?ndio mara ya kwanza napigwa buchu chijui leo usiku kama nita lala usingizi
Ninavyopenda mabusuu, Nimejikuta na like tuuKwa yeyote anaesoma hapa!!!
Mmmmmwaaaaa! [emoji38]
Achantee ji baby langu la haja..