WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Afu Moderator wa Chitchat ukishiba daku sasa hivi, panda kitandani ulale.
Jana ulifuta baadhi ya comments humu.
Hakukuwa na tatizo lolote.
Mnatutafutiaga shari tu.
 
Madem wa JF ni hatari aisee...mmoja tu anaweza akatuteka akina ME sote humu....ukiingia inbox tu waambiwa I love u kumbe una wenzako 20 daily wanaambiwa....akina nyambizi taratibuni mtatuua siku si zetu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Afu Moderator wa Chitchat ukishiba daku sasa hivi, panda kitandani ulale.
Jana ulifuta baadhi ya comments humu.
Hakukuwa na tatizo lolote.
Mnatutafutiaga shari tu.
Uko makini sana aisee, ni wapiii alifuta???? Na kwa nini afute????

Morning Madam B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…